Kama mke wangu tu, ni kusuka nywele zake mwenyewe mambo ya kuvaa weaving nilishakataa kabisa na uzuri yeye pia hayapendi (huwa yanamuwasha)Maweaving kukaa nayo ni kipaji.
Mimi kichwa changu kinawasha sana nikisuka rasta.. nimeamua niwe nasuka za mkono tu ambazo nafumua baada ya muda mfupi then naosha kichwa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Safi sana Mkuu.Kama mke wangu tu, ni kusuka nywele zake mwenyewe mambo ya kuvaa weaving nilishakataa kabisa na uzuri yeye pia hayapendi (huwa yanamuwasha)
@Shimba ya Buyenze amekubania vocha mkuu.Tufanye kazi za watu tu wenye vocha wamegoma wanatumiana pm huko tu View attachment 2262709
Hata rasta hasuki kabisa??Kama mke wangu tu, ni kusuka nywele zake mwenyewe mambo ya kuvaa weaving nilishakataa kabisa na uzuri yeye pia hayapendi (huwa yanamuwasha)
Hajawahi kukaa zaidi ya siku nne bila kulalamika, huwa anasema kichwa kina muwasha na anatokwa na vipele nyuma ya shingo. Sikuhizi ana natural dreads.Hata rasta hasuki kabisa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23]
Umewezaa dada.
Safi sana jirani...
[emoji8][emoji8][emoji8]
SafiHajawahi kukaa zaidi ya siku nne bila kulalamika, huwa anasema kichwa kina muwasha na anatokwa na vipele nyuma ya shingo. Sikuhizi ana natural dreads.
Vipi wewe kwenye swala la nywele?Safi
Nanyoa fupi kabisa na hazina dawa.Vipi wewe kwenye swala la nywele?
[emoji3590][emoji3590]Nanyoa fupi kabisa na hazina dawa.
Niko salama sana best na kazi nachapa kwa kwenda mbeleAmen [emoji120][emoji2536]
Glad you're feeling better today