Selfika na JF: Snap it. Show it

Kugombana hakunaga maana.,, Wala kununa aisee. Mie siwezagi kununa[emoji28]. Nyumbni, marafiki huwa wananishangaa Sana, sipogo kwenye ugomvi Wala kununa. Sema mcheshi balaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenye kununa huwa namnunia mtoto wa mama mkwe, ili anibembelezeee.

Kwa wengne hata mnuno hausogei yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kugombana hakunaga maana.,, Wala kununa aisee. Mie siwezagi kununa[emoji28]. Nyumbni, marafiki huwa wananishangaa Sana, sipogo kwenye ugomvi Wala kununa. Sema mcheshi balaaaa
Yah hakuna maana sema ikitokea hakuna jinsi
Kuna mtu wanakera .. nashukuru Mungu nazidi kujifunza uvumilivu kwa sasa ..

Mimi nanuna sema ni sababu ya mood swings
Nothing else [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…