Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,775
Yesu nitoe kwenye level ya vocha,loo๐Wanawake wangapi wamefunguliwa miradi ya mamilioni, kama hujawahi kuhongwa usifikiri watu hawahongi, kama unahongwa mwisho vocha ya 1000 hizo ndio level zako mkuu, usifikiri wengine hawahongwi.
hahahahahaYesu nitoe kwenye level ya vocha,loo๐
hahahaha,muda bdMuda wa tenga ngoja nikalale
Unaweza kujitoa mwenyewe tu ukitaka.Yesu nitoe kwenye level ya vocha,loo[emoji23]
[emoji23][emoji23]Yesu nitoe kwenye level ya vocha,loo[emoji23]
๐โna mie nipate bonge LA baby[emoji23][emoji23]
Amen dear
FafanuaaaaUnaweza kujitoa mwenyewe tu ukitaka.
Remember: You attract what you give.
Unataka nifafanue?
๐๐๐๐balaaahahahahaha
Niko poaSema mrembo...umepotea. umefichwa wapi
๐๐๐Rangi ya kucha soooo [emoji8]
Na akupende pia[emoji16][emoji113]na mie nipate bonge LA baby
Atakaenitunza,na kunijali na kunifungulia miradi ya maana kwakweli,sitaki level za vocha Dada[emoji16][emoji16][emoji16][emoji126]
Post M-alone
Na kweli dearNa akupende pia
Hilo ndo la msingi
Vipi mzima wewe ?
Yeah kupendwa raha asikuambie mtuNa kweli dear
Cha kwanza anipende muhim sana!
Salama dear,za we?
Jmn nibless basi na kapicha,sijakuona muda
Jmn we ni mzuri๐๐๐๐mshukuru MunguNgoja nikuwekee hii ya niliyoweka juzi maana sina picha mpya
๐๐๐๐๐๐karembooo jmn
Asante dear wewe pia ni mzuri [emoji7][emoji3531]Jmn we ni mzuri[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]mshukuru Mungu
Na kweli hii nilipitwa
Sikubahatika kuionnaNiko poa
Kuna post ya Shimba ya Buyenze nilikuwa hatari ndo nilikuita uje uione๐๐