Mh! kweli?, hata kama sina kitu lazima nihakikishe mahitaji ya kawaida tunasaidiana, hata kama sina pesa ya kununua Passo.
Na hakuna kitu sipendi nione mpenzi wangu ana shida ambazo zipo ndani ya uwezo wangu kuzitatua, sasa hao wanaume wengine sijui watakua wana roho za namna gani, itakuwa hakupendi.