Selfika na JF: Snap it. Show it

Well said [emoji1547][emoji1547]
 
Labda kama zitakuwa zinawekwa kwenye PM za mabinti, kibaya zaidi unaweza angalia avatar kumbe umeitumia njemba na ndevu zake[emoji23][emoji23].

Haya mambo ya fake iD's haya.
Unakuta vocha imewekwa halafu njemba inajinasibu kuwa eti imeiwahi halafu imefurahi hatari. Wala hainogi yaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…