Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,401
Umeona komwe langu?Achanana mataliππ
Ahsante nkamu
ππasante madamuUmependeza dear!! Msalimie sana babe akee aendelee kutufurahishia kipenzi chetu selfika siee!!ππ
Nikitoka huku
Nitapitia huko
Utanipa maelekezo kule
Paja linakuwa(ga)Nimeshindwa hata niandike nini madam
Lile ni paja au mguu???
Hahha nimecheka kidogo nifwariki shavu ilo aunt sinadimpozAunt junia kumbe una dimpoz
Beautiful soul πβ€οΈAunt@cocastic nataka kulala aunt ujeView attachment 2259794
Bosiledi hujaona ombi langu huko juu?Saivi niko intiria sana huku natafuta mashamba kabla mvua za august hazijaanza !!
Santo sana ππππ hakika selfika imejaaliwa β€οΈβ€οΈAunt@cocastic nataka kulala aunt ujeView attachment 2259794
πohoooHamuwezi shindana na kina nshomile πππ
sijaona mama mchungaji ngoja ni scroll upBosiledi hujaona ombi langu huko juu?
Eeeee kwakweliwenye wivu wajirushe mbinguni kwa Yesu eeh πππππ
Wigee wewe [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Paja linakuwa(ga)
La wastani[emoji1787][emoji2089]
Kuelekea magogoni
Si kuna kilima pale chuoni
Kabla hujakata kona kuingia getini
ThanksBeautiful soul [emoji177][emoji3590]
KabisaSanto sana [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] hakika selfika imejaaliwa [emoji3590][emoji3590]
πππππππ basi tumeisha litwaa jimboo ..
Madam miakili gani tena, naona hapa mtasababisha nisipewe fursa hivi hiviMnataka muwehuke sasa!! Hio miakili mlionayo bado tu !!!!ππ
Kuona nini mama pasta?? Hio sio heel kabisa [emoji2960]Eeh Mimi napenda kiatu. Afu nimehisi ni heel na bosiledi havaagi sana heels, ndiyo maana nikatamani kuona
LamaaWigee wewe [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Wizo nisamehe cm mwenzanguWizo nasubiri hicho kitenge.
Hii si Ile ulikuwa umekaa kama juu ya jiwe hivi?