CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Shida sio msuli brother shida ni hyo first class[emoji23][emoji23]First class ndiyo. Maana elimu yao ni msuli hasa siyo mchezo. Na hizo first class ni ngumu kuzipata kwetu tu Wabongo na roho mbaya zetu. Huko Kenya, Nigeria na South Africa sidhani kama ni ngumu kama kwetu na wao ndiyo huishia kuzipata hizi scholarships. Ukiona Mbongo ni kwa kubahatisha sana [emoji51][emoji51][emoji51]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ haya usitoke hapo msukuma sinaga mbambambaa mie!!Siku hizi wameshakuruhusu kuwa unaaga tu kavukavu namna hii? [emoji15][emoji15][emoji15]
Big boys mambo yao chini ya carpet.Iiiiiiiiigggggweeeeeeeeeeeeeehhhh π€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έ!!! Nawakubare sana wa mchongo!
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya usitoke hapo msukuma sinaga mbambambaa mie!!
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€π€π€π€π€π€π€π€!!Big boys mambo yao chini ya carpet.
Hawatumii nguvu kubwa kutengeneza mvuto kwani wana ulimi laini, hawakurupuki na wakirusha ndoano lazima ije na samaki mnonoπππ
Huna maana auntyπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€π€π€π€π€π€π€π€!!
Big boys wa mchongo ni nukseeeeeeeeee π€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έππ
Asiejua maana haambiwi maana!Huna maana aunty[emoji1787]
Hii ndiyo roho mbaya ya Kibongo niliyoizungumzia hapo. Kila mtu ni mbabe kwenye eneo lake....Eti darasa la wanafunzi 300 wanapata first class watano. Prof. mwenyewe si anapaswa kufukuzwa kazi? [emoji706][emoji706][emoji706]Shida sio msuli brother shida ni hyo first class[emoji23][emoji23]
" utasikia mko wengi sana hadi mwisho wa course naondoka na watu 50[emoji23][emoji23]"
Asante Boss Ledi....Shimba ya Buyenze.... Glenn hivi Juzi ndio ulikua unaumiza hii miguu ama [emoji848][emoji848][emoji848]???View attachment 2259738
Naona giza tu auntyShimba ya Buyenze.... Glenn hivi Juzi ndio ulikua unaumiza hii miguu ama [emoji848][emoji848][emoji848]???View attachment 2259738
First class ndiyo. Maana elimu yao ni msuli hasa siyo mchezo. Na hizo first class ni ngumu kuzipata kwetu tu Wabongo na roho mbaya zetu. Huko Kenya, Nigeria na South Africa sidhani kama ni ngumu kama kwetu na wao ndiyo huishia kuzipata hizi scholarships. Ukiona Mbongo ni kwa kubahatisha sana [emoji51][emoji51][emoji51]
Tumeizoea mbona[emoji16][emoji16] sema kuna moja ya Japan ya huu mwaka nimeichelewaHii ndiyo roho mbaya ya Kibongo niliyoizungumzia hapo. Kila mtu ni mbabe kwenye eneo lake....Eti darasa la wanafunzi 300 wanapata first class watano [emoji706][emoji706][emoji706]
Huko masharti yapoje ?Tumeizoea mbona[emoji16][emoji16] sema kuna moja ya Japan ya huu mwaka nimeichelewa
EwaaaπππΆπΆπΆπΆ
πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈEwaaaππ
Guu la nyatiππΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈ
π΄π΄π΄π΄π΄Guu la nyatiπ
Yeeeh,, hata sie wa 2nd upper una chanceHuko masharti yapoje ?
Wanaangalia Gpa pia ?