Selfika na JF: Snap it. Show it

Marahaba binti yangu.

Nina mabinti wengi sana hapa. Tena warembo kweli kweli. Nimechoka kusubiri sasa aisee.
Shangazi Nakazia hilo msukuma!! Selfika ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯!
Hata shangazi hapa amechoka kusubiri Vijana Fanyeni mambooooozzz pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
 
Shangazi Nakazia hilo msukuma!! Selfika ni
!
Hata shangazi hapa amechoka kusubiri Vijana Fanyeni mambooooozzz pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Na michango ya harusi haitakuwa shida. Wanaselfika wote hapa tukichanga tunapata hata milioni 20+.

Inshallah mwaka huu usipite bila kuwa na harusi ya wanaselfika!
 
Certification zangu, nilifanga eLearn security, Offensive security, sasa hivi kwa kitu nachotaka kufanya nataka nisogee kwa hizi E-counsil pamoja Isaca na baadhi yao ambao wapo trusted na Gv agency nyingi iki kujisogeza huko
 
Uko vizuri Baba Mchungaji. Mwenyewe ningekuwa bado kijana ningebadili upepo sema sasa miaka imeenda sana. 76 labda nifanye tu kama hobby na kubakia sharp mentally lakini siyo kwa ajili ya kupiga pesa japo pia inawezekana...
 
Saiv mzee ukitaka uingie huko jikite katika kutengeneza COMP VIRUS
 
Uko vizuri Baba Mchungaji. Mwenyewe ningekuwa bado kijana ningebadili upepo sema sasa miaka imeenda sana. 76 labda nifanye tu kama hobby na kubakia sharp mentally lakini siyo kwa ajili ya kupiga pesa japo pia inawezekana...
Tunashukuru Mungu, ametufumbua macho ya kuona tunapo enda. Unaweza fanya una deploy technology unaweka vijana wanafanya kazi unawasimamia unakuwa na ABC zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…