Selfika na JF: Snap it. Show it

Alayna hizo lips jamaniiiiio πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹!! kama nawaona wajombaa zanguuuuuu _King πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜‰πŸ€—πŸ€—πŸ€­
hiki kipengele .. wanaume tuna miyo ya uvumilivu na tupo na majaribu mengi sana, hapa kusaliti penzi jipya nje nje πŸ˜„πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²
 
Nshomile ni nshomile tu unaambiwa. Huko ulikokimbilia ndiko kwenye pesa sasa kwa sababu ndiko dunia inakoelekea. Hata kwa ujuzi ulionao sasa hivi ukifika hapa na kujipiga msasa kidogo haki ya nani makampuni watakugombania na pay ni kuanzia $150K+/year plus performance bonuses.

Stanford wanakula sahani moja tu na hao big boys wengine sema tu kila chuo kinajipambanua zaidi kwa program moja au mbili mashuhuri.

Stanford ndo kimetuletea akina Sergey Brin (?) waanzilishi wa Google...
 
Ewaaa, no wonder ni jirani yanguπŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ™πŸ™πŸ™ Nashukuru Mungu nilipata mwanga, nikaona nijikite huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…