Mmmmh hapo sasa pagumu. Duuh ila nwei tutajua hiyo mbeleni.Scholarships mbona zipo kibao? Na hawa jamaa hakuna cha nepotism mambo ya shangazi wala mjomba. Kila kitu kiko online ukitimiza masharti yao basi huna shida wanakufanyia kila kitu.
Elimu yao ni nzuri sana kwa kweli na mavyuo mashuhuri kama Harvard, Princeton, Columbia, Yale na Stanford wana program maalum za kusomesha vijana kutoka Afrika. Cha muhimu tu uwahakikishie kuwa utarudi home baada ya kumaliza masomo yako. Ukiwa kwenye mambo ya afya (MD, Public Health, Microbiology...) na Uchumi na nyanja zingine zinazogusa maisha ya watu moja kwa moja ni nzuri zaidi.
Eeh nimeikosa wizo, ndiyo nimekuomba hapa uirudie dk chache tuJuu ya kigogo
Kwani umeikosa ya kitenge?
Alicia keys achana na metadata bana. Byurifuuuul
Woooooooooww!!!!
achana na metadata.. .. aisee public figure ndio wewe sasa 🔥🔥🔥🔥
Asante kipenzi unanouga hataree Alicia keys!!😘😘😘
Nyanja yako ya uhandisi mbona ndo mnatafutwa sana kama wakombozi wa Afrika? Au fanya juhudi uende kwenyewe jikoni kabisa MIT. Sema sasa nawe ushaonja pesa. Kupiga kitabu miaka 6 utaona kama kupoteza muda tu.Nikionaga Stanford udenda unanitoka ni chuo pekee duniani ambacho nakipenda hadi kesho.. ila basi ndoto zenyewe zisha shift sana.. tutajiendeleza humu humu kibabe babe..
😀😀 ngoja niachane nayo selfika ziendeleeAlicia keys achana na metadata bana. Byurifuuuul
Una zawadi yako special ... 🔥🔥🔥🔥
Cute
😍😍Woooooooooww!!!!
Kichunaaa, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Haki naisubirii 🙏Una zawadi yako special ... 🔥🔥🔥🔥
Aunt😍Cute
Naam! [emoji91][emoji91][emoji91] [emoji16][emoji16]
Woooooooow, hapa matumaini yameanza kuja.Nyanja yako ya uhandisi mbona ndo mnatafutwa sana kama wakombozi wa Afrika? Au fanya juhudi uende kwenyewe jikoni kabisa MIT. Sema sasa nawe ushaonja pesa. Kupiga kitabu miaka 6 utaona kama kupoteza muda tu.
Mie napenda kusoma, ipo kwenye damu. Mwaka huu narudi kusoma, MIT sijawai papenda kama Standord. nilikuwa nafanya tu professional course ila sasa hivi nataka kufanya Msc..Uhandisi ni kama nimeupotezea kwakweli.. nilisoma Me Eng, nikaja badae nikaja Fanya Bsc IT, na ndio nina focus nayo zaidi na nili base sana na issue za Penetration testing pamoja na Forensic .. hata MSc nataka nifanye pure computer secuty ila nipo certified kama pro nataka tu ni add vyetiNyanja yako ya uhandisi mbona ndo mnatafutwa sana kama wakombozi wa Afrika? Au fanya juhudi uende kwenyewe jikoni kabisa MIT. Sema sasa nawe ushaonja pesa. Kupiga kitabu miaka 6 utaona kama kupoteza muda tu.
Shost mzureeee weuweee,[emoji7][emoji7]