Wazoee tu watu wa JF na walimwengu kwa ujumla
Kila mtu ana namna yake anavyoona mtu....yupo atakayekuona mpole na yupo atakayekuona mkali,yupo atakayekuona wa kike na yupo atakayekuona wa kiume na kadhalika
The best thing about JF ni kwamba kadri watu wanchanganyikiwa kuhusu wewe ndio nzuri inakuwa kwako (kama huna interests na mambo mengine kama kutarajia kudate ama kumeet na mtu humu)
Atakayefikiria chochote kuhusu wewe let him/her be,huna haja ya kujielezea/kujitetea kwa yoyote humu