Selfika na JF: Snap it. Show it

a can't imagine ilikuaje? Hebu nidadavulie Mr kahawa, kilichofuata. Woiiiiiiiiiiiih
 
Yap ni comedy drama ndio naingalia kipindi hiki.

Hiyo ya Carol's second act ndio naiskia kwako, nitaitafuta pia.
Ooh comedy huwa ni nzuri sana

Carol's hiyo ina mandhari ya hospital .. Carol huyu baada kustaafu, alipata divorce basi akaamua aende kusoma udakatari akiwa mzee tayari .. inaonyesha challenge anazopitia katika safari yake ya intern doctor katika umri wa huo ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…