Yaan nianze kuhaha na 1St yr ili nipate pro? Wee naanzaje? Kwan huyo 1St yr mie namuona wapi? Khaaaah
Wee unakwama wapi? Njoo hapo magu hostel, paki Audi yako afu uone vidada vitavyoanza kuneng'eneka.
Ila wadada UD wanavushwa mno weekend, nimekumbuka jamaa anachukuliwa Demu huku anashuhudia, ila mapenzi ni nyokooo bado yupoo nae tyuuh. Woiiiiiih