Selfika na JF: Snap it. Show it


Mimi huwa navivaa sana ila inch 5 yenye kisigino chembamba sijawahi vaa.

safi sana Nkamuu endelea matokeo yatakua bomba zaidi
 
Dadaake kama unaamini Mungu yupo basi tambua na uchawi upo na unafanya kazi na kuwaumiza wengi
Dah!
Watu wanaupiga mwingi

Picha kwenye nanasi?!!

Aisee,nyie !!tusali sana...wenzetu upande wa pili Kwa shetani wapo siriazi sana.

Ila wakristo tunleta mzaha,kusali kiuvivu....wakati shetani yeye yupo siriazi.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…