Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Una ugeni na selfika? Popo ya kujilipua Selfika kwa mida hii mie ni m1 wa waasisi, we uliyekuja mda mfupi ndo uanze kujiona umefikaa sanaaa? Ukae kwa kutululia.

Nipooo sanaaaa, labda uombe muongozo wakupe, na habari uwe nayo mwayaaa.
Kijana mpya uyo kijiweni anashangaa pipo kupita mazima mida hii
 
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂!! Kwako kat

🤣🤣🤣🤣🤣😂😂!! Kwako katibu
Uwapo mwenyekiti hakuna kinacho haribika, nadhani tufunge kikao Ila ombi langu kwako naomba sie tusio dark and handsome mtufikirie mnapotendwa huko isee tumechoka kuwaita mashemejiii ," in makasiriko voice"
 
Una ugeni na selfika? Popo ya kujilipua Selfika kwa mida hii mie ni m1 wa waasisi, we uliyekuja mda mfupi ndo uanze kujiona umefikaa sanaaa? Ukae kwa kutululia.

Nipooo sanaaaa, labda uombe muongozo wakupe, na habari uwe nayo mwayaaa.
Umeasisi nini kujilipua 🤣🤣🤣 boya kweli!
 
ni kula tu kitu 😀😀 huku tunasubiri ki baridi kishuke zaidi
IMG_20220612_005319.jpg
 
Back
Top Bottom