Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,501
- 203,204
Bomba, niaje?Mambo vipiiiiiii.
Bomba, niaje?Mambo vipiiiiiii.
Poa ElyMambo
Nataka nilirudishe lile Mie hili sijalizoea kabisa 😔
Niletee huku niliko mkuu😁Haha....
Nina zawadi yako mkuu ebu fanya wepesi wa kuguswa kipekee kabisa kuwa nakupa hii zawadi kwa njia ipi safi na salama kwako
Tafuta hela tu mkuu hata sasa jinsi ulivyo ni mkubwa mnoNikiwa mkubwa nataka niwe kama ww T 1990 ELY

Poa kabisaaaa Jahblesssss I and I.Bomba, niaje?
Bila shaka umepata mkuu?Viportable na vibonge laleni Kwanza nipate vocha hapa
Weeee misri sirudiiii I'm happy and relaxed with this one! Feels like a born again baby!!Mmhh
@Mjep Asante Kaka vocha imeshawahiwaKazi kwako chief
Selfika na #halotel#
*104*5220906147858#
Hapo sawa kabisaa.Weeee misri sirudiiii I'm happy and relaxed with this one! Feels like a born again baby!!
Pole sana mkuu bahati haikua yako kwa leo ilikua ya buku hiyo@Mjep Asante Kaka vocha imeshawahiwa
Hivi Leo Nina gundu nuksi nakosa vocha huku nafanyiwa mitego yote kheri kikubwa uzima



Tusubiri ushuhuda kwa aliyewahuAcha niwe mpole tuView attachment 2256768
Sawa ndugu usijal ubarikiwe lknPole sana mkuu bahati haikua yako kwa leo ilikua ya buku hiyo
Amin🙏🙏Sawa ndugu usijal ubarikiwe lkn