kidimbwi nimeisha vuruga sanaa.. kwangu imekuwa kama zilipendwa na kidimbwi jumapili huwa pana wakaa sanaa.. kitambo nilikuwa naanzia Juliana .. tukichoka tunasogea kumalizia pale hadi saa moja
Ohooo unafikiri kwanini napenda vi first year hiyo ndio sababu.. na magamba unapunguza sana utamuu .. inakuwa kama kuchukua sheria mkononi.. nyoka mwenyewe huvua gamba.. mimi ni nani nipingane na nyoka
Hayo mashangazi mazuri kukutana nayo masakai kuna viwanja vya kiheshimiwa sana hukutani na wanyonge ππππ.. pale 25 na mie hatuendani napenda sehemu ambayo ipo karibu na hotel.. fumba fumbua nipo chumbani .. kimkakati sana hii
Hahha huwenda tukawa tumeonana maeneo ya huko masaki, sema kwa sasa u busy hata hapo samaki samaki kuna mashangazi yanakamata vijana kwa nguvu ukiwa mrefu uko official wanajigongesha ssna...

πππ inawezekana, code huwa natembea sana na demu mmoja wa kiarabu na tulikuwa tunatumia sana gari ya blue inayo ng'aaa mala chache sana gari nyeupe.. gari blue ilikuwa audi, na nyeupe ilikuwa crown.. viwanja sana vya masaki ndio ilikuwa zetu na ndio zetu bado napo mala moja moja