Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakwambia hadi kasimu kangu kameshtuka kupata vocha kubwa hivo.
Ukute hii simu inajua nilikuwa namtumia mtu hela mpesa nikajikuta nanunua muda wa maongezi kimakosa[emoji1787]
vi simu vya matukio hivyo, ukiwa unarudi home unatupia kwenye toolbox nyumabya gari na haviruhusiwi kutoa mlio wala vibrationπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Itakuja tu

Unabebembelezwa

Unaapiwa

Halafu unaambiwa

Alikuwa shetani huku unapapaswa

Lazima ulowe

Hisia zisirudi kwanini[emoji848][emoji2089][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…