Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante kipenzi kwa kutoa taarifa ubarikiwe huko ulipo๐Ÿ˜โค๏ธ
 
Mpendwa nakupenda acha tu, Leo utauza kuliko siku zote za maisha yako toka umeanza biashara yako.. Usisahu kutoa ushuhuda usiku home.. Lini mie nikutakie mabaraa mama kijacho ๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ

By Baba kijacho ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐ŸฝHayo ndio maandishi sasa ya kutakiana baraka tele nikifanikiwa mimi sawa umefanikiwa wewe ๐Ÿ˜
 
There is no me without You ha no me without You
There is no me I need You more than yesterday
No-no-no me without You
There is no me I can't do nothing on my own Lord
I need You more than ever before
I need You more than yesterday You're my tomorrow
You're the passion that I have You're the Future that I see yeah yeah yeah yoyoh
There is no me without You everybody say
 
๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐ŸฝHayo ndio maandishi sasa ya kutakiana baraka tele nikifanikiwa mimi sawa umefanikiwa wewe ๐Ÿ˜
๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ zetu ni duwa na sala tu mama kijacho. Mafanikio yetu kwa ajiri ya vizazi na vizazi๐Ÿ˜. Ukafanikiwe kila ugusacho na kila utakamcho kikakubalike na wateja wetu ๐Ÿ™
 
Umemix haya maelezo.. sundrop haina povu, wala hayabadiliki hata yakikaa sana โ€˜kw wale wapishi wa mara chache chache.

Na bei yako juu
Tofauti na hizi alizeti za kina singida
I think alimaanisha ya alizeti,ni kweli yapo yenye povu
Ambayo ndo hayo mi nimesema ni Yale wafanyabiashara wadogo wanayachukua na kuanza kuyachemsha tena ili kupata mafuta!
Ss kuyafahamu ni balaa unaweza pigwa vzr tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ