Selfika na JF: Snap it. Show it

Duh.....
Bring back our Boss lady @Mahondaw
Hii Antonia tutaizoea kweli?
Pole sana boss lady tumekumiss sana😍

Na huyu shost cocastic na yeye kafichwa wapi? Hatumuoni we miss you mizagamuo
 
Mbona Kupatwa kwa boss lady nyiee khaah!!
Huyo jamaa Ukifatilia posts zake anaonekana kama ni mwanaume vile sasa mwanaume naweka avatar ya mshepu anamaanisha nini Ndugu zangu???? haya ona na hapo kajiita "queen of sheba tena mabwaku haya!
Bring back our boss lady Mahondaw please!!!! Huyo Antonnia hatujamzoea sie
 
Got it
 
Dah! kuona jina Antonnia umenikumbusha mbali sana 🚢🚢🚢🚢πŸ₯²
 
Okay
Noted,asante kwa taarifa
Miss u more dear Antonia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…