Aah okay!
Mi nishazoea ile pure
Kutoa harufu ni simple sana
Unapotumia unayaacha yaungue kidogo harufu inatoka yanakuwa kawaida.
Ila sie home huwa tunayakaangia chips yote ili yatakate then tunakuwa tunatumia tu hatupati usumbufu wa kuchoma kila unapotaka kupika