Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata enzi zangu hilo kosa sijawah kufanya,,, yaani bora akapate suprise huko huko,, mambo ya kusema ntakukunja kama nguo kwenye tenga la nguo chafu hapana sitaki
 
Kuna mwingine unaanzaje kumuambia uwiiii!! Lakini mwingine aaarrh mnakua kama friends vile hadi raha!!! Hasa kipindi cha ujana ujana lakini!
 
Mimi ninaona sisi wanaume ndio tunatakiwa kuwapa assuarance, ili wawe huru kujielezea wakati wa tendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…