Selfika na JF: Snap it. Show it

Saikolojia ya mwanaume....hii hapa...

Yeye hapo anajua ameshakukula..

Keshamaliza kazi yake....

Ego yake isharidhika...

Na masela atawasimulia jinsi alivyopiga shoo ya kibabe...

Na kwa jinsi mlivyo si ajabu wakati anapiga hiyo unayoita empty set ulikuwa unamkatikia. Na vilio kama vyote...na alipomaliza ukamshukuru. Na jasho ukamfuta....

Utabakia unalalamika huku yeye huko baharia yuko kwenye fahari kwa kukukula na bize akimshukuru Mungu kwa kumuumba kidume....

Men [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…