Selfika na JF: Snap it. Show it

Akhsante sana mkuu! Mpaka uwe na wakukusikikiza sasa wengine akishawaza chini tu hasikii la kuambiwa ni kumrukia tu mwanamke na kumfakamia hana hata romance😎😎😎
 
Unaona sasa, hapa ndipo inferiority inatumaliza sie kina average Joe! Ila bwana mi sikubali, ule ushauri wako nimeuchukuaπŸ˜…πŸ˜… sema hapo kwenye kidevu sijui ulimaanisha kinatumikaje..teh!
Naamini hii ni Kejeli mkuu najua unatania😎😎😎!!
 
Kaka kale brisket ntakuja kulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…