Selfika na JF: Snap it. Show it

Shangaa na wewe mpendwa mimi siwezi kufanya pasipo na hisia na nikichukia siwezi kuigiza kabisa labla hasira ziishe sio kanipiga na kitu kizito eti zoezi liendelee😬
 
Asante kwa kunielewa
 
Mimi ndiyo nataka twende hukohukoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huu ugali ni wa mhogo mpendwa?
Ugali wa muhogo ni mweupe kidogo. Huu ni wa mahindi umechanganywa kidogo na mtama au ulezi. Ni ugali mzito huu na ukiula unausikia kabisa kuwa umekula kitu kizito. Baada ya hapo ni ama uende shamba ukalime na kama ni usiku basi...[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…