Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Pengine ni kweli...[emoji23][emoji23][emoji23] yanajua hayana pakwenda...
😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] yanajua hayana pakwenda...
Unanipa assignment tena na shule tu ilinishinda Mimi!!🚶🏽♀️Pole, Google utawapata mkuu, hata kwa kiswahili wewe andika tu sanguine ni mtu wa aina gani utapata sifa zake
Hisia zinakuwepo kabisa mimi nikichukia yaani sina mzuka kabisa hata aniguse wapiNitampa tu tena vzr sn
Kati ya moja ya adhabu moja ya kijinga wanayodanganyana wadada ni kumnyima mwanaume mkiwa mmegombana!
Mnyime uone nje wanacheza na gap tu ,😷😂😎
Jmn mtupe heshima yetiPengine ni kweli...
Pengine si kweli...
Vimbaumbau ni vitata kwa kweli. Pengine ni kwa vile vina mahali pa kwenda...
Pengine ni kweli...
Pengine si kweli...
Pengine yote yote sawa [emoji3]Pengine ni kweli...
Pengine si kweli...
Vimbaumbau ni vitata kwa kweli. Pengine ni kwa vile vina mahali pa kwenda...
Pengine ni kweli...
Pengine si kweli...
Hahaa poleHisia zinakuwepo kabisa mimi nikichukia yaani sina mzuka kabisa hata aniguse wapi
Njoo Misungwi ukae mwezi mmoja. Ukirudi huko Tanga hawatakutambua mpendwa [emoji16]Kwenye nyama nyingi kama hizo ni tonge nyama huko nitarudi ni kibonge mno[emoji16][emoji16]
Unazingua tu, anyway tuendelee na mada ya wanaumeUnanipa assignment tena na shule tu ilinishinda Mimi!!🚶🏽♀️
Kwa kweli ngoja nije nipate nyama mwilini 😀Njoo Misungwi ukae mwezi mmoja. Ukirudi huko Tanga hawatakutambua mpendwa [emoji16]
Utaenjoy sana .. michepuko yote napiga chini leo na ma ex wote wasi nisogeleeEwaaaa si unajua wasukuma wako vzr
Shimba ya Buyenze ,usijali kwanza moja hiyo
Ndicho nilichokuwa najaribu kusema bosi. Umepiga mule mule....Pengine yote yote sawa [emoji3]
Kwamba wanaovitembeza huko nje: ni kwa sababu wake zao wamewanyima?.Nitampa tu tena vzr sn
Kati ya moja ya adhabu moja ya kijinga wanayodanganyana wadada ni kumnyima mwanaume mkiwa mmegombana!
Mnyime uone nje wanacheza na gap tu ,😷😂😎
😂😂surbi acha upambeWacha weeeeeeeehhh!!! Hapo sasa mnaendana! Mmebalance nyote hampendi muongo!😎
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] GGNdicho nilichokuwa najaribu kusema bosi. Umepiga mule mule....
Timu vimbaumbau vs timu mabonge...Both teams to score [emoji16][emoji16]
Kuna wanaume wanatoka nje hawana hata sababu ya msingi, ni tamaa tu.Kwamba wanaovitembeza huko nje: ni kwa sababu wake zao wamewanyima?.
Unazingua tu, anyway tuendelee na mada ya wanaume
Mama mchungaji 😁😁Kwamba wanaovitembeza huko nje: ni kwa sababu wake zao wamewanyima?.
Wengi hawana sababu, watakwambia ni nature tu.Kuna wanaume wanatoka nje hawana hata sababu ya msingi, ni tamaa tu.
Uko vizuri sana binti Abiud....Ewaaaa si unajua wasukuma wako vzr
Shimba ya Buyenze ,usijali kwanza moja hiyo