Ahadi ni deni, nitakukubusha kila siku.Nyie husahau tu [emoji1787] ile story ntajaribu kuandika badae badae.
Pm mambo mengi rafiki mitongozo ipo lkn wengine wana chuki zao tu
JamaniπΆπΆπΆπΆNa kwa sababu hamjui manachokitaka ndio maana mnapiga pini pm
dah.mna option nyingi sanaMwanaume mzubavu hafai kabisa na mkorofi sana nae ni balaa inabidi awe kati
Wanaume muione hii !ππMwanaume mzubavu hafai kabisa na mkorofi sana nae ni balaa inabidi awe kati
Usiwaze nitatimiza ahadi yangu.Ahadi ni deni, nitakukubusha kila siku.
Mimi najua mwanamke kutongozwa ni kawaida, tena ikipita wiki bila kutongozwa eti mnajisikia vibaya. Fungueni pm mtongozwe jamani..[emoji28]
Kimpata wa kati sasa ndio shughuli. Ukipiga pin pm unaenda kukutana nae kitaa tena live bila chenga πππMwanaume mzubavu hafai kabisa na mkorofi sana nae ni balaa inabidi awe kati
[emoji23][emoji23] kiasi sio sanadah.mna option nyingi sana
Ha ha ha ha si ni Buza.dah we hapana,unaishi wapi? Mbn mtata hivyo
hahahahaha,haya rafiki,mie ngoja niwe msomaji mkuu
[emoji1787] ninae tayari. Napenda mtu mwenye amsha amsha ila asiwe mbabeKimpata wa kati sasa ndio shughuli. Ukipiga pin pm unaenda kukutana nae kitaa tena live bila chenga [emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe mtu chake wewe[emoji1787]hahahahaha,cjawahi kuonja hivyo siwezi kujua,we umejuaje mkuu huwa tamu?
hahahahaha,nije wapi kupiga storyWee njoo tupige zetu story kakangu njooπ€£π€£π€£π€£π€£
Hahah mie sijafunga anaetaka akuje tu ipo wazi mbona!!Na kwa sababu hamjui manachokitaka ndio maana mnapiga pini pm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimepiga piga vya hivyo ukikuta kame amua kukupa eeh hatari tupu kalivyo katata huku na sita kwa sita hivyo hivyo vina magame flani hivi amazing ukionja hutoki
ππ wa mtaani ndio wa jf, mie najitoaga muhanga tuhahahahahaha,kutoka humu jf au?we uko vzr,mie muoga aisee
Kwani tunazumzingia nini hapa wee kaka si umesema ulitaka kuja wewe ulitaka kuja wapi sasaππ!!!hahahahaha,nije wapi kupiga story
hahahahahaha,niambie rafiki,nasema kweli daimaWewe mtu chake wewe[emoji1787]
Mwanaume yule ambae ukizingua nae anakuzingua kweli ila asiwe na mkono wa kupiga. Mwanaume ambae hata ukikaa nae unajihisi kabisa upo mahala salama, napenda. Sasa unakaa na mtu kazubaa huyo mimi simtaki.Wanaume muione hii ![emoji115][emoji115]
Kuna Wengine wanachamfu kweli wanavuruko yani ukiwa nae ni unaongeza tu siku za kuishi kwa kucheka na kufurahi
Unakuta mwingne sirizzzzzzzz khaa[emoji21][emoji21] !hadi anaogopesha!
Utakuwa peke yake mambo ya kando yote napiga chini ππs
Ndo nishatishika ss
Mambo ya kushare siyawezi mie
Hahaaaahahahahaha,mimi mdada mtata atanionea tu