Nyie husahau tu [emoji1787] ile story ntajaribu kuandika badae badae.Mzima rafiki, hope uko poa sana. Hata hivyo ile story bado naisubiria...
Huko pm ni mwendo wa kutongozwa au wanakujaje?
😬😬😬 nyie mnajidai hamnazo lazima tuwazingue tu maana kwanza mpo wengi, ukizingua unapigwa chini mambo yanasongaNguvu ipi???? Kwani kuna kupigana 🤣🤣🤣🤣🤣😜😜!!
Kumbe nimeapatia eehhh! Upunguze ukorofi bana wanawake hatupendi wanaume wakorofi korofi
Sasa huyu ndio mzuri, au unataka wale waliozubaa [emoji2][emoji2]Nguvu ipi???? Kwani kuna kupigana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12]!!
Kumbe nimeapatia eehhh! Upunguze ukorofi bana wanawake hatupendi wanaume wakorofi korofi
Kwakweli atusaidie kajuajehahahahaha,cjawahi kuonja hivyo siwezi kujua,we umejuaje mkuu huwa tamu?
hahahahaha,nakufurahisha na nn tena.rafikiHahahhaha!! unanifurahishaga sana wee mbaba!
hahahahahaNdugu zangu kiumeni muende pm vizuri na kiustaarabi sasa ndio uzuri wa kujadili matatizo!! Haya mmejua sasa! Nawatakia utekelezaji mwema!✋
Nimepiga piga vya hivyo ukikuta kame amua kukupa eeh hatari tupu kalivyo katata huku na sita kwa sita hivyo hivyo vina magame flani hivi amazing ukionja hutoki
Ukorofi sana mie Hapana!! Waluozubaa pia wanaboa!Sasa huyu ndio mzuri, au unataka wale waliozubaa [emoji2][emoji2]
Usitishike ukinitunuku sito angaika tena 😀😀😀 nitatulia😎🙆🙈🏃🏃
Hahaaaahahahahaha,dah,ndo utata wenyewe huo
hahahahaha
hahahahahaha,kutoka humu jf au?we uko vzr,mie muoga aiseeNimepiga piga vya hivyo ukikuta kame amua kukupa eeh hatari tupu kalivyo katata huku na sita kwa sita hivyo hivyo vina magame flani hivi amazing ukionja hutoki
Mi najua nachokitaka😂Ukorofi sana mie Hapana!! Waluozubaa pia wanaboa!
Hakika wanawake hatujui tunachotaka😎
Bora endelea kuwa muoga hivyohivyo besthahahahahaha,kutoka humu jf au?we uko vzr,mie muoga aisee
Mi najua nachokitaka😂
Ila ukali usizidi,
Mwanaume mzubavu hafai kabisa na mkorofi sana nae ni balaa inabidi awe katiUkorofi sana mie Hapana!! Waluozubaa pia wanaboa!
Hakika wanawake hatujui tunachotaka[emoji41]
Na kwa sababu hamjui manachokitaka ndio maana mnapiga pini pmUkorofi sana mie Hapana!! Waluozubaa pia wanaboa!
Hakika wanawake hatujui tunachotaka😎
hahahahaha,haya rafiki,mie ngoja niwe msomaji mkuuEeehh kaka kila kitu kinajadilika tu! Au nasema uongo ndugu zangu??
Ndo nishatishika ssUsitishike ukinitunuku sito angaika tena 😀😀😀 nitatulia