Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Aisee sitak kutoa ushuhuda hapa any way tuishi humoHujui kazi ya tatoo
Aisee sitak kutoa ushuhuda hapa any way tuishi humoHujui kazi ya tatoo
Duh[emoji2297]Na nilitaka nikuwekee ila nimeghairi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YaaniMbususu acha tu, Pale Mungu alifanya kitu special sana
Niko poa za kwakoMe too
Vipi mzima wewe
Niko poa za kwako
Yaani weweWell I dont know what really happened in here
Totally clueless
Vipi how are you feeling ?
Wikiend tutafutane basiSo far so good
Huyu dogo ni shida[emoji1787]Mdogo wangu hii inglishi utanifundisha lini na mimi niteme yai hivi?
Yaani hadi nimeona wivu
Hahaha 😂😂Yaani wewe
Kituo kinachofuata ni fimbo[emoji1787]
Kila nikikukataza unaendeleaAh wapi mimi mwenyewe learner tu
Labda tufundishane tu tujue zaidi
I'm looking forward to learn new languages
Spanish hivi ..
Wachaa[emoji1787]Nipo Ir mama
Ipi hiyoWikiend tutafutane basi
Mazoea tu kakaKila nikikukataza unaendelea
Ukoje[emoji1787][emoji848]
Eeh[emoji849][emoji848]Yaani next week ndiyo nina mpango wa kugonga color mixing wiki nzima[emoji23][emoji23]
Angalizo tuMna afadhali huko, majuzi nilikua Mbeya aloo ni noma usiku inafika hadi 9 kama hukuoga mchana ndio basi [emoji23][emoji23]
Ouky [emoji120]Ipi hiyo
Ngoja niangalie kama nitakuwa na nafasi . Nitakujulisha
Nikiona tatoo nachanganyikiwa kabisaa 😬😬😬Aisee sitak kutoa ushuhuda hapa any way tuishi humo
Bastola imechomozaWatu wanachanganya hawaelewia ,kuna rangi zinaendana hazina shida zikiwa 2,3....
Pia watu tunatofautiana colour code...
Mfano mi hapa nimevaa puul neck nyeusi,biatu vyeusi!,hiyo suruali ni nyekundu na hereni ni nyekundu except kikoti tu ni baby yellow,cm tu imeweka filter imefanya rangi zimeng'aa but ni rangi zilizopoa!
Mkongwe kazini[emoji1787]Jaribu shoppers supermarket au village..