Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
OkyKumbe
Amen I got member jmn
I'm happy
Niko ir pia kwa ss
Tutawasiliana inbobo dear
OkyKumbe
Amen I got member jmn
I'm happy
Niko ir pia kwa ss
Tutawasiliana inbobo dear
Mimi mwenyewe nipo hapa kleruuKumbe
Amen I got member jmn
I'm happy
Niko ir pia kwa ss
Tutawasiliana inbobo dear
Wadau wa jukwaa hili samahani naomba mnisave japo buku tano jamani kwa usiku huu ata ninunue ata mboga na unga wakuu🙏🏾😭 nimekwama
Huku tupo hiviIr tunaganda, wengine vipi kwenu??View attachment 2254624


Bora ile ni kitenge
Rangi ninazoongelea hapa ni zile sijui blauzi ya njano,
Sketi pink,kiatu cheupee,kikoti chekundu yaani mvurugano.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mna afadhali huko, majuzi nilikua Mbeya aloo ni noma usiku inafika hadi 9 kama hukuoga mchana ndio basi


Mimi mwenyewe nipo hapa kleruu
Mbona unanitenga hivyo dogo
Aah app inazingua picha imegomaMimi mwenyewe nipo hapa kleruu
Mbona unanitenga hivyo dogo
Aiseee hiyo picha irudiweeeeeJmn ningejuaje,hukusema
Sawa itabidi tutafutane😂😂
Ngoja nikuachie picha ya kulalia bila emoj
Aah app inazingua picha imegoma
Kwani id yako kongwe ni ipi arifu?New member tunaongezeka! Wakongwe wanapungua
Kimahesabu hii tunaitaje wakuu???😎😎🚶🏽♀️
Hii pia ni kongwe chalii yangu!Kwani id yako kongwe ni ipi arifu?
Hali ya hewa nzuri kweli ... What a reliefMna afadhali huko, majuzi nilikua Mbeya aloo ni noma usiku inafika hadi 9 kama hukuoga mchana ndio basi![]()
Ndo maana nilikuita maana we😂😂
UmeonogaaWatu wanachanganya hawaelewia ,kuna rangi zinaendana hazina shida zikiwa 2,3....
Pia watu tunatofautiana colour code...
Mfano mi hapa nimevaa puul neck nyeusi,biatu vyeusi!,hiyo suruali ni nyekundu na hereni ni nyekundu except kikoti tu ni baby yellow,cm tu imeweka filter imefanya rangi zimeng'aa but ni rangi zilizopoa!



Rangi zinakupenda dearWatu wanachanganya hawaelewia ,kuna rangi zinaendana hazina shida zikiwa 2,3....
Pia watu tunatofautiana colour code...
Mfano mi hapa nimevaa puul neck nyeusi,biatu vyeusi!,hiyo suruali ni nyekundu na hereni ni nyekundu except kikoti tu ni baby yellow,cm tu imeweka filter imefanya rangi zimeng'aa but ni rangi zilizopoa!
Kuishi Kwangju dar kote na joto LA miaka hiyo sijawahi oga maji ya baridi🙈Hali ya hewa nzuri kweli ... What a relief
Ah huko balaa
Sio kwa baridi hilo
Mtu ambaye hajawajahi kukaa mikoa ya baridi akija huko duh shida .
Asante nimekumiss umepotea,au tunapishanaUmeonogaa![]()
Kuishi Kwangju dar kote na joto LA miaka hiyo sijawahi oga maji ya baridi
Sahivi naambiwa kuna baridi kiasi na upepo,nakuja na sweta kabisa
Dar ya sahiv sio km ya miaka iliyopita joto LA kwaida sana
Mimi nakuelewa vizuri, maana colors hazinisumbui; nagonga tu yulee. Watu wengi wasiopenda crazy color hata ikiwa moja tu hawakuelewi; afu ukizichanganya ndiyo hawakuelewi kabisa. We good to go wizo akeWatu wanachanganya hawaelewia ,kuna rangi zinaendana hazina shida zikiwa 2,3....
Pia watu tunatofautiana colour code...
Mfano mi hapa nimevaa puul neck nyeusi,biatu vyeusi!,hiyo suruali ni nyekundu na hereni ni nyekundu except kikoti tu ni baby yellow,cm tu imeweka filter imefanya rangi zimeng'aa but ni rangi zilizopoa!