Duuhh!!bongo hii km UlayaNiliwahi kuishi kule kwa muda, nilisurrender lile baridi.
Baridi ikikolea; muda wa kwenda kazini/shuleni unapelekwa mbele kidogo. Ndiyo sehemu pekee niliyoshuhudia snow. Afu zile radi zinapita miguuni tititititiiii hapana jamani.
,😀😀😀😀 kwaiyo nyie wanafunzi watukutu mkawa mnaenda eehNimekumbuka
Tulivyofika chuo , tulionywa tusifike hapo
Malecturer walitukataza kabisa ..
One minute Stay there... 👈Nimefika mrembo
Umejileta huku mwenyewe ebu selfika 🤳 kidogobalaa
Duh! Hatari mno.Sita yote hiyo siku nyingine inagonga negative
NipoOne minute Stay there... 👈
Ndiyo siku nimetoka Makete nikaenda Mbeya. Kufika kule nikaona haka mbona sio kabaridi, nikaenda town na shifoni. Sijawahi kukohoa vile maisha yangu

poleNilivyorudi mjini, nilijichimbia ndani for 2 weeks, angalau mfubao wa ngozi upungue.Duuhh!!bongo hii km Ulaya
Nilishapoa. 😂😂🙏pole
Asante midomo imenona 😋😋Woooooooozzzzaaaaaahhhhh! _King Mbayuwayu nimeona kwato zako nakudai ya mchana ulikimbia!View attachment 2254647
Hujui kuwa mie ni lecture 😀😀😀Shendwaaaaaaaa
NimeiwahiWoooooooozzzzaaaaaahhhhh! _King Mbayuwayu nimeona kwato zako nakudai ya mchana ulikimbia!View attachment 2254647
Hata Mimi ni lecturer😔😔Hujui kuwa mie ni lecture 😀😀😀
Ngoja nijitahidi niwe napiga picha😂😂😂na ranging zangu
Mapigo yako nayaelewa sana😂😂😂na ranging zangu
Tehteh..Nawewe weka namimi nikuwahi mkuuNimeiwahi
Haya chukua hyooView attachment 2254650

😉😉😉 haya lecture mwenzanguHata Mimi ni lecturer😔😔
Waooona ranging zangu