Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,274
- 89,302
Me sijaenda. Tumekula 2 bila kudadeq. Sema mkeka umetiki.😀😀😀 Taifa nije fanya nini.. mie nipo zangu moro napambana na vya mzumbe
Me sijaenda. Tumekula 2 bila kudadeq. Sema mkeka umetiki.😀😀😀 Taifa nije fanya nini.. mie nipo zangu moro napambana na vya mzumbe
Thanks
Nilikutana na kichaa amevaa koti. Kumbe wanajielewa.Kule si ndio usiku inafika had 6![]()
Utajisnap utubless mkuu!Jumamosi naingia ofisini mwendo wa suti moja matata na kiatu kama kile ila chenyewe ni fire
Unasogea wapi .. Ijumaa namwagika viunga flani hiviMe sijaenda. Tumekula 2 bila kudadeq. Sema mkeka umetiki.
Nilikutana na kichaa amevaa koti. Kumbe wanajielewa.
baridi sio la mchezo etiNiliwahi kuishi kule kwa muda, nilisurrender lile baridi.Siku 7 nilizokaa nilioga mara bee.
Ukijiroga ukafua nguo haijawah kauka.
Kule hapana madame.
Leo nipo home. Weekend nikiwa na hela naenda Moro au Tanga. Nikiwa na hela ya bia naenda kusumbua Samaki ya Usakini.Unasogea wapi .. Ijumaa namwagika viunga flani hivi
Unanibania sana mtoto mzuri hata kupost ukuchaU
Utajisnap utubless mkuu!
Kule si ndio usiku inafika had 6![]()
Sema samaki Moro mademj wote wamezeeeka unaweza toboa na ukaendoka pangu patupu kama mzee wa viwangoLeo nipo home. Weekend nikiwa na hela naenda Moro au Tanga. Nikiwa na hela ya bia naenda kusumbua Samaki ya Usakini.
Shendwaaaaaaaa😀😀😀 Taifa nije fanya nini.. mie nipo zangu moro napambana na vya mzumbe
Umefirahi eehhh!!!![]()
Mbona nimepost sana tu sema hukuwepo!Unanibania sana mtoto mzuri hata kupost ukucha
Aisee, hujambo jiraniNilikuwa na njaa kali hadi sikupata muda wa kupiga picha.
NimekumbukaSema samaki Moro mademj wote wamezeeeka unaweza toboa na ukaendoka pangu patupu kama mzee wa viwango
Sita yote hiyo siku nyingine inagonga negativeKule si ndio usiku inafika had 6![]()
Siku 7 nilizokaa nilioga mara bee.
Ukijiroga ukafua nguo haijawah kauka.
Kule hapana madame.




balaa