Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,572
- 235,412
NacheeekaWe subiri ushuhuda siku nikifanikiwa maana shetani anajiinua Sana [emoji38]
Safari ya mbinguni si Lele mama ..the battle is real nimeanza kupigana Vita na pombe Kama kianzioNacheeeka
Nikikumbuka nilikutumia na vifungu vya Biblia,unaitika Amina.
Yaani sina hamu mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safari ya mbinguni si Lele mama ..the battle is real nimeanza kupigana Vita na pombe Kama kianzio
Subiri shuhuda nisiongee Sana [emoji41] gnt[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nacheeeka mimi.
Wewe unapigana vita na pombe?
Hebu kalale sasa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Anaweza kuacha, kama anapiga chupa 10 daily anaanza kupiga 7 au 5 anaenda kama wiki 2, anaanza kupiga 3 anaenda wiki 2 ama 3 anaanza 1 kila baada ya siku 2 n.k, ni ka utaratibu tu na inabidi uwe na nidhamu kweli kweli.
AiseeMtu kama hakujui anaweza fikiri upo siriazi [emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Kiuno kikavu hakina mafuta,kina mifupa tu
kipenzi mambo.nimekumiss kipenziPOLe na samahani sana nafikiri nilikosea nilikuwa nimkusudia kumwita mtu chake
Pole sana rafikiBaada ya siku mbili pale tmj.sasa niko fit,mnaendeleaje humu
Huyu hiyo nidhamu hana.Anaweza kuacha, kama anapiga chupa 10 daily anaanza kupiga 7 au 5 anaenda kama wiki 2, anaanza kupiga 3 anaenda wiki 2 ama 3 anaanza 1 kila baada ya siku 2 n.k, ni ka utaratibu tu na inabidi uwe na nidhamu kweli kweli.
Ujue kilevi umetumia miaka mi 5 huwezi acha kwa wiki 1.
Mi mwenyewe kuna muda nilikua nazipiga bottles acha kabisa, mama yangu mkubwa zilipompoteza kwa ugonjwa ini, nikaona pombe ni ushenzi, leo hii nakunywa social, either kwenye events tu, naweza kaa miezi sijanywa.
Fortnox
Jirani shkamoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Subiri shuhuda nisiongee Sana [emoji41] gnt
ahsante rafiki .mambo vpPole sana rafiki
PoleBaada ya siku mbili pale tmj.sasa niko fit,mnaendeleaje humu
ahsante .rafiki.naendelea poa walau leo nachat
Freshahsante rafiki .mambo vp