Thanks[emoji173] dadaakeHappy belated birthday kaka mkubwa Mshana Jr
Mungu azidi kukuweka Kwa utukufu wake.
Happy belated birthday dada mkubwa Chakorii
Bwana na akutunze.
Team June [emoji3590]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hongera sana! "Transformation period"!Niliweza tu,
Nilijicommit tu nikatulia.
Japo Kuna washenzi wachache wakataka niharibia wiki yangu.
Nilikuwa kwenye transformation period,kuna hatua nilikuwa napiga.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
😀😀😀 basi kesho nitakufata kabaridi ndio kazuri sasaNikataka nishuke nikuchungulie ila kulikuwa na baridi almanusura nizime.
Nilikuwa kwenye boda.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji849][emoji848]Ewaa
Fanta Orange[emoji847]
Aksante.
Msalimie na yule Mubandsome anayekulowesha ukulimuona.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Next time unajipa tu hata ya mwaka[emoji4]Hongera sana! "Transformation period"!
Nikiweza kujipa leave ya mwezi outta mitandao nitafurahi sana..
UEFAMpwa ulipotelea wapi, ujuwe mimi tu ndio nilikuulizia..uone jinsi ninavyokupenda[emoji16]
Connection ya ndinga..hehe!Takupa connection[emoji23]
Kuna baridi sina hamu.[emoji3][emoji3][emoji3] basi kesho nitakufata kabaridi ndio kazuri sasa
Halafu nilisahau Wige, uefa ndio ilimkimbiza huyu mtoto Saint Anne...hahaha!UEFA
Si mchezo[emoji1787]
Vizuri karudi
Kombe lenyewe bayaaaUEFA
Si mchezo[emoji1787]
Vizuri karudi
Yaani nikimbie kwa ajili ya UEFA?[emoji1787]Halafu nilisahau Wige, uefa ndio ilimkimbiza huyu mtoto Saint Anne...hahaha!
Hujaelewa?[emoji849][emoji848]
Eti nini
Hapo mwisho
Ni kweli
Leave ya mwaka hapana, ila kuna wakati mtu unatamani utupe simu huko yani.Next time unajipa tu hata ya mwaka[emoji4]
Ila nitaweza nikishatafuta nanihii wa kukaa naye.
Kalikuwa kaweek kazuri zuri tu,,,
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mimi mwenye suraHujaelewa?
Kuna comment yake huko juu amesema amemuona kaka muhandsome akalowa.
Nikawaza mukaka wangu muhandsome ninavyomuangaliaga hadi nalegea.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app