Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Usikawie tuuu ππππ leo jioni wapiSurprise naitaka jamani, basi wacha nije hapo chap tumalizane
Usikawie tuuu ππππ leo jioni wapiSurprise naitaka jamani, basi wacha nije hapo chap tumalizane
πππππHaya Nizoom vizuri! Nina VAR hapa ukihitaji nijuze
Jioni twende tukanywe Strawberry mojito kijiweniπUsikawie tuuu ππππ leo jioni wapi
Uje na zile pigo zako zile maana ni π€€π₯π₯Jioni twende tukanywe Strawberry mojito kijiweniπ
ππ hilo muhimuUje na zile pigo zako zile maana ni π€€π₯π₯
Beetrot hii au
Ni Dompo.Beetrot hii au
Anha kumbe ndo maaana ipo reddish hivyoNi Dompo.
Beetrot sijawahi kuitest, niliambiwa sio tamu
Me vitu vichungu hua navikwepaπAnha kumbe ndo maaana ipo reddish hivyo
Beetroot haina ladha nzuri ndio ila inongeza fasta tofauti na rozera .
Naona Maisha mserereko!!!
Nakuelewa mimi huwa nakunywa sema nawekaga passion hivi kukata harufu na asaliMe vitu vichungu hua navikwepaπ
Maisha yenyewe ni haya haya banaNaona Maisha mserereko!!!
Kwaraha zako blue Monday tuliiivu sana!
Niliwahi pata hiyo shida ya damu, nikawa nakesha na matembele na rozela ila matembele kwa sana na dawa nashukuru nikapona chap.Nakuelewa mimi huwa nakunywa sema nawekaga passion hivi kukata harufu na asali
Bora umeze tablets tu
Kabisa dada mie nishapiga yugali wangu hapa nashushia epo panchi taratiiiibuuuuu!!π€£π€£Maisha yenyewe ni haya haya bana
Waswahili wanasemaga raha jipe mwenyewe
Hizi zote sifa zetu!!!!! awwwwwwwwwwwww!!! π Sie mchezo tunaanza kuuchezesha wenyewe kwanza tukichoka ndio mnaanza kutushikilia mapaja sasa!Mtoto flani hata ukimkumbatia anatosha kifuani, kwenye ligi unamgeuza kama samaki inayokaangwa, mkienda beach ile michezo ya kihindi ya kubebana unambeba juu juu, halafu nyie ni watamu balaa, halafu hamchokagi kwenye mechi. _King kwako endelea...
πππKabisa dada mie nishapiga yugali wangu hapa nashushia epo panchi taratiiiibuuuuu!!π€£π€£
#Maishamsererekonaepopanchi
Ooh poleNiliwahi pata hiyo shida ya damu, nikawa nakesha na matembele na rozela ila matembele kwa sana na dawa nashukuru nikapona chap.
Nime ki miss kidole hicho kina flani hivi amazing ππ