GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,380
Cuzo wangu wa kwenda aisee
Jf ina waremboooo
Beautiful Shangazi![]()
Jiachie bhasJf ina waremboooo
Mtoto mzuri, huo mbonyeo kwenye mashavu unanimaliza kabisa.




Nimeikosa hiyo picha dah 😬😬😬Mtoto mzuri, huo mbonyeo kwenye mashavu unanimaliza kabisa.
Kweli wapo, tukuone basi mtoto mzuri.Jf ina waremboooo
pole sana.Nimeikosa hiyo picha dah 😬😬😬
Una bahati mbaya sana kuikosa hiyo picha.Nimeikosa hiyo picha dah![]()
Nimeikosa hiyo picha dah![]()


😀😀😀 mambo ndio hayo sasa ShangaziMjomba usijali wewe unafanyiwa special delivery![]()
Unanichoma rohoo sasa 🥲🥲
mambo ndio hayo sasa Shangazi
Shangazi naisubiri 🥲🥲Mjomba usijali wewe unafanyiwa special delivery![]()
Dah! kupitwa alafu unakuta watu wana mwaga sifa hivi ujue maumivu makali sana