Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pacha ana sauti nzuri balaa
Naona leo pacha wako anaweza maliza siku yangu na huu wimbo 😅😅😅
2EAEF0B8-9183-4D95-9A0F-B7B78B75B51F.png
 
Weee
Weeeeehh pasono mavi yangu!! Ni mzuri hadi umepitiluza hapa wajuba wanameza mate tu😋😋😋!
Alayna kiukweli mtoto Unaitaa!! hauna mbwembwe humu Sio mjuani hauna maneno mengi huna baya na mtu hujifanyi waushuani !!
Big up sana mrembo!
Big boy wamepangana PM na offer za kufa watu 😅😅😅 mie na mzabzab ndio hata kusogeza mguu hatuwezi
 
Back
Top Bottom