spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,527
Ustufanyie ivo mkuu😂😂😂😂😂Weeeeh..inatosha
Ustufanyie ivo mkuu😂😂😂😂😂Weeeeh..inatosha
Ahsante mremboView attachment 2251747ya mwisho.. nawapenda 😘😘
Unayo mkuu? kuna mjinga amenichelewesha kwenye whatsup callAhsante mrembo
Kile chakula mlichosema niwaandalie tangu juzi kipo, mtakila hikohiko hata mkija mwakani😏😏Jirani nipo getini Heaven Sent View attachment 2251891
Alafu cha kukaa mda mrefu ndio kinanoga safi 😬😬😬Kile chakula mlichosema niwaandalie tangu juzi kipo, mtakila hikohiko hata mkija mwakani😏😏
Msalimie wifiAlafu cha kukaa mda mrefu ndio kinanoga safi 😬😬😬
Na wifi yako tunaenda zanzibar hapa anakusalimia pia , zawadi gani akubebee ila kumbuka unanibebesha zawadi tuu toka zileee😀😀😀Msalimie wifi
Mkuu naona unatunanga sie vidampa!!📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌Good morning 🌅 my lovely darling mtoto wa kike uliyebarikiwa hakika ukabarikika! It's soo wonderful day having you as a blessing in my life, morning kisses 😘😘😘 to you mrembo mpole mwenye hekima na busara tele. Acha watu wavimbe na wapasuke wenye wivu, husda na roho mbaya zao kutwa kukuonea wivu wakati hata 1% hawajakufikia. Morning to you again Yna2 kwanzia nianze kufatilia uzi wa selfika hakika hakuna anayekufikia hata unyayo tuu bado na kwenye hela umewazidi mbali mno. Amka mamito Yna2 uianze siku yako kwa furaha na amani tele. Allah akufanyie wepesi katika kazi zako na akaibariki kazi ya mikono yako! We 💕 you Yna2
Huko Zenji nitakuinbox tu, nahitaji vitu kibao. Naona umeamua kufanya tour na zawadi zanguNa wifi yako tunaenda zanzibar hapa anakusalimia pia , zawadi gani akubebee ila kumbuka unanibebesha zawadi tuu toka zileee😀😀😀View attachment 2251895
Mkuu Bora unachangamsha uzi sikuhizi uzi umepoa sanaChat na picha
View attachment 2251897
Watu hawatumi selfie kabisaBora uchangamshe uzi sikuhizi uzi umepoa sana
👏👏Chat na picha
View attachment 2251897
Sijawah kukubahatisha nasikia tu sifa zako
Sijui tunakwama wapi asee!Watu hawatumi selfie kabisa
Tuanze na weweSijui tunakwama wapi asee!