Tumeni bwana tuwaone vyenye mmebarikiwa sura....sie wengine sura pesonoo tukiweka tutaunguza uzi bureSijui tunakwama wapi asee!
Tumeni bwana tuwaone vyenye mmebarikiwa sura....sie wengine sura pesonoo tukiweka tutaunguza uzi bureSijui tunakwama wapi asee!
Mhm mzeya ndio unataka kuwachukuwa warembo wa selfika🤣🤣🤣🤣🤣Chat na picha
View attachment 2251897
Hamna faza naona content ya uzi inapoteaMhm mzeya ndio unataka kuwachukuwa warembo wa selfika🤣🤣🤣🤣🤣
Kiukweli Yna2 nimekuonea wivu bure!! Hizi sifa zote zako dahh!!Good morning 🌅 my lovely darling mtoto wa kike uliyebarikiwa hakika ukabarikika! It's soo wonderful day having you as a blessing in my life, morning kisses 😘😘😘 to you mrembo mpole mwenye hekima na busara tele. Acha watu wavimbe na wapasuke wenye wivu, husda na roho mbaya zao kutwa kukuonea wivu wakati hata 1% hawajakufikia. Morning to you again Yna2 kwanzia nianze kufatilia uzi wa selfika hakika hakuna anayekufikia hata unyayo tuu bado na kwenye hela umewazidi mbali mno. Amka mamito Yna2 uianze siku yako kwa furaha na amani tele. Allah akufanyie wepesi katika kazi zako na akaibariki kazi ya mikono yako! We 💕 you Yna2
Mkuu ebu tuwekee na yako tusifu uumbaji wa MunguKiukweli Yna2 nimekuonea wivu bure!! Hizi sifa zote zako dahh!!
Ok. Sawa wacha tuone..ila mbona huku hamna picha za warembo wanaselfika kwenye washrooms za clubs wakiwa wamebinua matakos?🤔🤔🤔Hamna faza naona content ya uzi inapotea
Huyo anautendea haki uzi mkuu wewe maneno mengi na huselfiki!Mhm mzeya ndio unataka kuwachukuwa warembo wa selfika🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Niselfike ili mnjcheke na sura ya gu pesonooo🤣🤣🤣🤣🤣Huyo anautendea haki uzi mkuu wewe maneno mengi na huselfiki!
kidampa tu mie chembambaaa hata 1 ina nafuuMkuu ebu tuwekee na yako tusifu uumbaji wa Mungu
Angalia picha za juu huko sijafuta utanionaSijawah kukubahatisha nasikia tu sifa zako
Page namba ngap hii JF mpya mkuu dahAngalia picha za juu huko sijafuta utaniona
Nyie ndio Wanaume sasa Hizo Sura Ndio warembo tunapenda ebu tupia kwanza tuone huo upasono🤣🤣🤣🤣Niselfike ili mnjcheke na sura ya gu pesonooo🤣🤣🤣🤣🤣
Pisi za JF hazihitaji promo za ivo zipo zmetuliaOk. Sawa wacha tuone..ila mbona huku hamna picha za warembo wanaselfika kwenye washrooms za clubs wakiwa wamebinua matakos?🤔🤔🤔
Aah wengne tunapenda wembambakidampa tu mie chembambaaa hata 1 ina nafuu
Mbona ipo vizuri tuu mkuuPage namba ngap hii JF mpya mkuu dah
Basi tuma hapa tupo wachache alaf utafuta aliciaMbona ipo vizuri tuu mkuu
kwenye page namba ngap ndio sikumbuki sasa
Nyie hao hao mnasema mnatakaga tall dark and handsome, leo ndio mmebadilika mwataka sura pesono😲😲😲😲Nyie ndio Wanaume sasa Hizo Sura Ndio warembo tunapenda ebu tupia kwanza tuone huo upasono
Weeee nyie mnaenda na biti akija mnene mtasema mnapenda wanene wanaume nyie!!!Aah wengne tunapenda wembamba
Weka picha fazaNyie hao hao mnasema mnatakaga tall dark and handsome, leo ndio mmebadilika mwataka sura pesono😲😲😲😲
Mm napenda wembamba haya weka mkuuWeeee nyie mnaenda na biti akija mnene mtasema mnapenda wanene wanaume nyie!!!