Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeongea ukweli huyu anafaa sana kuwa mke
Sema big boys hapo wameisha weka ligu nzito sanaaa... kwa kipato chetu cha ngama tume fail tayari mzee mwenzangu acha tupambaena wa kienyeji wetu, buku tano maisha flesh... yule bibi nilifanikiwa mzee baba kupata namba zake kesho mapema naruka nae πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ah hawa jamaa big boys bwana wanatukosesha warembo.
Yupi tena huyo unaruka nae
 
Ah hawa jamaa big boys bwana wanatukosesha warembo.
Yupi tena huyo unaruka nae
Kuna bibi mmoja hivi wa kienyeji kwenye bar ka uswazi kajazia enzi za usichana wake sijui alikuwaje mzee baba, noma kuna ki bar kipo mbezi mwisho pale yupo jikoni nomaa kesho atakuwa off, naenda kujirusha na bibi kizee πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…