ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,706
- 3,565
Kuna kitu nimehisi ππ
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125]Usijali hilo ukipata protein zangu tukiongeza na squats litapatikana tuu
Naja kukuchukua mrembo wangu.
Na wewe piaπ
Jamani π€£π€£π€£Kuna kitu nimehisi π
Shangazi ππ kwanini niongope shangazi wangu au hadi niangushe kilio cha paka alipigwa baada ya kula chakula cha usiku chote ππππ€£π€£ππππππ!! mi kijeba ujue mjomba unanidanganyaje kwa zawadi lakini mjomba π€£π€£π€£π!!
Kweli Hata sina jipya leo ankoo wetu!!
Aah haya mambo tutaongea chemba banaaa[emoji3]sio ya kuweka hadharaniPesa kiasi gani?
Milioni ngapi?
ππππ Shangazi au basi ngoja nikanunue vocha nije pm π π π wajomba hapa tunatoa toa machoMisemo hio mjomba Mwenzio kiswahili nilifeligi mjomba ππ!! Unamaanisha nini mjomba!
hahahaha.mbn unanicheka rafikiHhahaa!!
dah leo sio zali.lkn nafurahi km mko salama
Nipo mamake...Aliepo macho anyoshe mkono!! [emoji15]
Mikono juu kama mateka eh?Aliepo macho anyoshe mkono!! π³
Bila selfie hatukubali ulale..
[emoji870]Alie macho anyoshe mkono!! [emoji15][emoji113]
Nipo mama [emoji113]Alie macho anyoshe mkono!! [emoji15][emoji113]
[emoji113]Alie macho anyoshe mkono!! [emoji15][emoji113]
Shangazi nipo getiniFanya hivo mjomba hapa mie kukimbizana na Vijana siwezi kabisa madogo wana speed balaa!!
hahhahahh......habari yangu ni nzuri sana sijui ww.nani huyo alizusha?na huyo swalliah ndio naniMgeni/Mwenyeji
Huyooo[emoji1787]
Habari yako toto zuri
Eti kuna mtu alizusha
Wewe ndio Swalliah