Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,877
- 37,676
AmeeeniAblosulety stunning
Amen
Maombolezo 3:25-26
Mwenyezi-Mungu ni mwema kwa wanaomtegemea, ni mwema kwa wote wanaomtafuta.
Ni vema mtu kungojea kwa saburi ukombozi utokao kwa Mwenyezi-Mungu.
Pesa kiasi gani?mama weee,shauri yako
Kwetu pesa tu ,ng'ombe tunazigeuza kuwa pesa tu hata usiogope msukuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya jambo!! Marahabaaa mjomba Na uzee unazidi kunisogelea karibu!!
Boss lady kwema?Sie Wazee tunaenda kulala mjomba niwatakie usiku mwema wapendwa katika bwana!!πΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπ΄π΄
Amina shangazi. Mungu anakupenda, Mungu na akulinde na kila neno baya, kila dua mbaya na kila macho mabaya na kila kinywa kitamkacho laana na mabaya zidi yako na laana na hayo mabaya na yakawe juu yake. Shangazi yangu ukawe na njozi njemaSie Wazee tunaenda kulala mjomba niwatakie usiku mwema wapendwa katika bwana!!πΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπ΄π΄
πTeam 40
I'm not married,no kids, no stress
Waiting for the Lord's......View attachment 2248527
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi ndio naingia wewe unaenda kulaka ππKwema sana mkuu! Selfikapo basi mkuu!!
Mungu alitupa gift , Mungu alitupendelea kutupa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nakuelewa sana mkuu, kuna Mengi sana ya kujifunza kutoka kwa Mwalimu. Taifa limeshindwa kulinda na kutunza legacy yakeUkitaka kuelewa hasa upekee wa huyu mwamba ni lazima uangalie muktadha na mazingira ya wakati huo. Na umlinganishe na mababa wa taifa wengine wa wakati huo...
Angeweza kufanya cho chote na kuiba anavyotaka kwa sababu hakukuwa na mtu ambaye angeweza kumhoji. Lakini hakufanya hivyo. Hata watoto wake hawakusoma Harvard na Cambridge japo wangesoma kama angetaka. Na angewatajirisha sana kama angetaka lakini leo wapo wanaishi maisha ya kawaida tu. Akina Madaraka. Akina Makongoro. Alikuwa mjamaa kabisa kabisa na aliamini katika falsafa zake za utu, usawa, umoja, uzalendo na kuheshimiana pamoja na kupeana haki bila rushwa na kujali matabaka.
Alitaka kila Mtanzania ajue kusoma na kuandika. Akapambana kufa na kupona kumaliza ukabila. Watu wake wawe wamoja. Waipende nchi yao....na alitaka ndoto hii ichomoze mpaka Afrika nzima. Tanzania ikawa kitovu cha harakati za ukombozi Kusini mwa jangwa la Sahara...
Mwalimu
Sasa wee ndio unanifaa. Njoo tuishi maisha bwana. Yaani ni bata na kisafiri tuuTeam 40
I'm not married,no kids, no stress
Waiting for the Lord's......View attachment 2248527
Sent using Jamii Forums mobile app
Tubariki tuMambo kama mambo!!!
Mbona sina mpya sasa ssebbo!!
Mzee wa yale mambo ππSasa wee ndio unanifaa. Njoo tuishi maisha bwana. Yaani ni bata na kisafiri tuu
Nipo hapa chawa wake, lete pesa nikupe connecetion π π πSasa wee ndio unanifaa. Njoo tuishi maisha bwana. Yaani ni bata na kisafiri tuu
UsingekujaSasa wee ndio unanifaa. Njoo tuishi maisha bwana. Yaani ni bata na kisafiri tuu
Sija jipya leo mkuu πππ€£π€£π€£π€£ππππ!! Haya nasubiria hapa silali tupia mkuu!π
Million 5 sii inatosha kwa connectionNipo hapa chawa wake, lete pesa nikupe connecetion π π π
Nimeformat kula kitu kwenye simu!! Mpaka nianze upya!
Inatosha, hiyo mkuu boss π π πMillion 5 sii inatosha kwa connection
Haya fanya mambo nipate mrembo huyo nitulie naeInatosha, hiyo mkuu boss π π π
ila tu usimchezeee kajitunza katunzika π₯Έπ₯Έπ₯ΈHaya fanya mambo nipate mrembo huyo nitulie nae
Na huna kitumbo... Endelea ku wait mkuu,, hakuna ubaya wowote...Team 40
I'm not married,no kids, no stress
Waiting for the Lord's......View attachment 2248527
Sent using Jamii Forums mobile app