Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
That body😍
That body😍
He was not only a statesman but also a great philosopher...na kabisa kabisa aliamini katika falsafa na fikra zake kwa vitendo...iwe ni Azimio la Arusha au siasa zake za Ujamaa na Kujitegemea.Wili ya pili katawala mawazo ya kichwa changu. Wachache katika wengi ndio huyuView attachment 2248503
Kwa tanzania hasa yeyote anayesoma philosophy 101 University lazima asome philosophy za hii kiumbeHe was not only a statesman but also a great philosopher...na kabisa kabisa aliamini katika falsafa na fikra zake kwa vitendo...iwe ni Azimio la Arusha au siasa zake za Ujamaa na Kujitegemea.
Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa...na alilizingatia hili kwa vitendo. Sidhani kama kuna mwanasiasa mwingine anayeweza kusema hivyo.....
"Ikulu ni mahali patakatifu. Mimi sikuchaguliwa na wananchi kuja kupageuza na kuwa pango la walanguzi"
He talked the talk and walked the walk...
Mwalimu!
Mwalimu alikuwa Tanzania, Mwalimu hakuwa mmbinafsi , Mwalimu alikuwa baba wa wengi, mwalimu alikuwa na ndoto njema 🙏🙏He was not only a statesman but also a great philosopher...na kabisa kabisa aliamini katika falsafa na fikra zake kwa vitendo...iwe ni Azimio la Arusha au siasa zake za Ujamaa na Kujitegemea.
Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa...na alilizingatia hili kwa vitendo. Sidhani kama kuna mwanasiasa mwingine anayeweza kusema hivyo.....
"Ikulu ni mahali patakatifu. Mimi sikuchaguliwa na wananchi kuja kupageuza na kuwa pango la walanguzi"
He talked the talk and walked the walk...
Mwalimu!
Jimbo tunalichukua hilo tena mchana kweupeeee....Ila kwenye 40s umetufunga kamba. Kamwili hako utakuwa bado kwenye late 20s au very early 30s....
DahTeam 40
I'm not married,no kids, no stress
Waiting for the Lord's......View attachment 2248527
Sent using Jamii Forums mobile app
Wife material for real ✌️✌️😘😘Team 40
I'm not married,no kids, no stress
Waiting for the Lord's......View attachment 2248527
Sent using Jamii Forums mobile app
Jimbo tunalichukua hilo tena mchana kweupeeee....Ila kwenye 40s umetufunga kamba. Kamwili hako utakuwa bado kwenye late 20s au very early 30s....
Mahari kwa Wazambia huko zimekaaje ili tuanze kujipanga mapema? Huwa wanatoa ng'ombe au ni pesa tu? Kiasi gani?

mama weee,shauri yakoShangazi kama shangazi usiku unaisha huu 😬😬Wife material for real ✌️✌️😘😘
Hapo kwenye 40 umetupiga kamba, ngoja tutafute ng'ombe
Ablosulety stunningTeam 40
I'm not married,no kids, no stress
Waiting for the Lord's......View attachment 2248527
Sent using Jamii Forums mobile app

😅😅😅😅 Uzee ni hazina ujana ni maji moto.. Ukifikia uzee unamtukuza Mungu... Marahabaaaa tooooo 😍😍😍😍 wajomba tunangaza angazaaa hapaaa🤔🤔🤔🤔🤔!! Marahabaaa mjomba Na uzee unazidi kusogea karibu🤔🤔🤔🤔!!
Ukitaka kuelewa hasa upekee wa huyu mwamba ni lazima uangalie muktadha na mazingira ya wakati huo. Na umlinganishe na mababa wa taifa wengine wa wakati huo...Mwalimu alikuwa Tanzania, Mwalimu hakuwa mmbinafsi , Mwalimu alikuwa baba wa wengi, mwalimu alikuwa na ndoto njemaView attachment 2248559