Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Namba one ya kwiioo wakati una michepuko kila kona nimeona unatoa shuhuda kwenye uzi wa kimasiraha 😬
Safi dear ex shemejiHabari yako
Shemeki
😳😳😳😳 kimasiraha tena , kweli umenichoka ndio maana visa haviishiNamba one ya kwiioo wakati una michepuko kila kona nimeona unatoa shuhuda kwenye uzi wa kimasiraha 😬
Its Beer:30 You are right on time.Mda wa kulewa sasa 🥸🥸View attachment 2248141
Kuna mtu huu ujumbe umfikie 🙂
Naombaa😋😋Mda wa kulewa sasa 🥸🥸View attachment 2248141
Acha ukorofi🤣🤣
Njooo 😘😘😘Naombaa😋😋
😅😅😅 washamba ndio wanavimba na hizi , mizigo hii
Inasikitisha sana. Wanawake wanapitia magumu sana, mpaka kufikia hatua ya kunyonga mtu unakuta alishampiga hadi kuzirai mara kadhaa.Bado tunakunywa mtori.. View attachment 2248192
This nonsense has to stop. Inabidi tuimarishe sana vitengo vya ushauri nasaha na magonjwa ya akili. Watu ni wagonjwa!Bado tunakunywa mtori.. View attachment 2248192
Buswelu sijui kuna nini, yule aliyepigwa risasi 7 ni Mwanza Buswelu, na huyu wa kunyongwa ni Mwanza Buswelu, matukio yamefuatana.This has to stop. Inabidi tuimarishe sana vitengo vya ushauri nasaha na magonjwa ya akili. Watu ni wagonjwa!