Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
Leo sina bahati hata kidogo yaani. Picha zote napishana nazo [emoji51][emoji3][emoji3][emoji3]
Hasa ulikuwa wapi nishafuta picha msukuma we
[emoji126]nasubiri mama angu apokee ng'ombe
Asante mkemia kesho tuanze na namba 9spidernyoka 4 yako hio ila kuna na namba 7, Namba 6, kagera Sugar na ya Dortmund hahahaha
Kesho nitajaribu namba 9 View attachment 2247558
Lala salama binti Abiud....Haya muwe na usiku mzuriii
Damu ya Yesu iwalinde
Binti abiud mama mtumishi acha nipumzikeView attachment 2247560
Irudie basi jamani. Hata kwa sekunde tano? Ni ridhiki yangu kabisa hiyo picha yaani...[emoji16][emoji16]Niliweka ile iliogoma asubuhi msukuma!!
Nipo!Sekunde mbili usitoke hapo msukuma!!
😍😍😍😍Haya muwe na usiku mzuriii
Damu ya Yesu iwalinde
Binti abiud mama mtumishi acha nipumzikeView attachment 2247560
Wasukuma[emoji120][emoji120]Lala salama binti Abiud....
Yu a gojazi....
Wasukuma tushindwe wenyewe tu kwa kweli [emoji16][emoji16]
[emoji120]asante dear[emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Heren mezpendaaa
Amen[emoji120][emoji8]Ameeennnn!!
Nakwako pia kipenzi![emoji8]
Nimeipata mamake....Ilikua hio hapo Shimba Ya BuyenzeView attachment 2247566
Yaan napenda maisha ya uswazi, nliendaga buzaaa woiiiii, tulifka hapo sehem wanachoma mishikak, chips, miguu ya kuku, supu, wee nilichachuka na mastory had wenyeji wakawa wananiuliza wee unaish temeke, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utamu adi kisogonii[emoji39][emoji39]
Shangazi vitamu hivi, mate yanadondoka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama malezi, hebu sema kweli.Amenifuata PM kasema anaomba usimroge, eti vocha yako ilikaa sana akaona ajaribu kuingiza ikaingia. Amesema kesho tufunge kwa maombi ili usimroge. Na alijua umeshaokoka siku hizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakaka wa selfika.TUMETOKA MBALI MPAKA TUMESAHAU KILOMETER [emoji1607]
View attachment 2247525
Bado tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natafuta location COCA[emoji23]
Hahah poleShangazi vitamu hivi, mate yanadondoka.
Kweli tena. Mimi najulikana team voda🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama malezi, hebu sema kweli.
Nyie ukitoa tu jicho, ushapitwaa. Naamini bado mapema, itakuja nyingineShukrani🙏
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo amesha staafu.Kweli tena. Mimi najulikana team voda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]