Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜…πŸ˜… Nimekaa nasikiliza shuhuda za mtu mmoja anasema alienda mbinguni, akaoneshwa nyumba za saints na zinatofuatiana kutoka na kazi ambazo wamefanya, na kuna wengine waliopo duniani nyumba zao zingine hazijakamilika ..... nikaa nikawaza kwa akili zangu za ajabu ajabu

Nikajisemea kwa kuna watu ( wakristo wavivu ) wanaweza kwenda mbinguni ila wakawa wamasai wa watu kule wakalinda nyumba za watu au wakawa machokaraa wa mbinguni maana hawana makazi na hawakufanya juhudi ili makazi yao ya kule yajengwe au watakuwa mabeki tatu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Heaven Sent
Christine1
 
Kama kuna Mchungaji alikuwa anasema, wengine hapa mbinguni hamna makazi yenu, mtaishi kwenye vifua vya kina Ibrahim kama Lazaro.
 
Kama kuna Mchungaji alikuwa anasema, wengine hapa mbinguni hamna makazi yenu, mtaishi kwenye vifua vya kina Ibrahim kama Lazaro.
Kifuani ni mahala ambapo walitunzwa kwa mda tu, ( kifuani pa ibarahim sio parmant ) ila Yesu alisema naenda kwa Baba kuwaandalia makao, hayo makao yanatokana na kazi yako hapa duniani.. kama kazi nyonge unaweza jikuta unakuwa mmasai kule πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mbinguni unakwenda ila unaishia kuwa masai au msaidizi wa kwa Job au Moses πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Mawazo yangu tuu acha nilale sasa
 
Alikuwa anatutania tu akimaanisha like kuna watu watakosa hata makazi ya kupanga, watabebwa kwenye nyumba za wengine, unapewa chumba muishi na kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…