Kama kuna mtu humu ana kg zaidi ya 70 na anataka kupungua tr 20 june, tuanze fasting na keto diet
Mlo wa jioni ni ndizi mbivu nusu tu,, na fasting hyo ni for 14 days
Siku 3 za kwanza itakuwa ngumu mno lakini on the 4th day baada ya ketosis kuanza itakuwa easy peasy
Kama u are pregnant au una matatizo ya kiafya challenge hii usifanye,,
Any volunteers for science??