Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna anaemtaka kufanya na cuzoo wako biggie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]!! umemuona??
Nimemuonaaaah, nimecheka hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ha-ha
 
walikumfanya nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jeshini kuna mambo ya ajabu sanaa, afu nikachongewa kwa afande wa kike, niliteseka. Ila yule afande alinichukia mnoo, ananambia wazi wazi ananichukia, akiniona anahisi kinyaa na anatema mate huku naona.

Uwiiiiiioh
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Ooh pole sana
 
Pole kipenzi cha muhimu ulitoka mzima tu!
 
Nakuonaga mayai binti! Kumbe mpaka kwata umepiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…