Selfika na JF: Snap it. Show it

Wako poa saaana seeing the kid growing it's amaizing feeling
Before you know it atakuwa mdada vijamaa vinyoa viduku utaanza kuviona vinajipitisha pitisha hapo na suruali za kubana. Enjoy while it lasts....

Weka misingi sahihi. Onyesha upendo kama wote na kapendee sana mamake. Mengine yote mwachie Mungu [emoji1545]
 
Katoto ketu kamegoma.. kanasema Kigoma jamani mbali, mnionee huruma [emoji23]

Baba kakubali
Mama hataki..

Ila tunawakosea kuwalazimisha basi tu..
Kama ni mvulana aende. Kuna vitu atajifunza huko vitamsaidia sana katika maisha yake. Labda kama ni mtoto wa kishua.

Kama ni msichana asiende hata kwa bunduki. Hata wakati ilipokuwa lazima nilikataa kabisa kabisa mtoto wa kike kwenda huko...na vyeti tulivinunua tu. Na University wakaenda kama kawaida.
 
Izunaye

Mhola nhoi

Genhehe inding'ha li golo

Leghabela[emoji848]

Aghakindwa nhani

Ya Baghika na Baghalu
Ūnene nalīngika.

Nalinagatogilwe sana Agachūli Chūli, Līng'wanamashishani, Walaga, Lūkalasonda nī linamhala lyabo Līng'wanalūselele.

Abagalū Bashangata, Nīndwa, Pilipili, Ng'wanasanagūla na ganamhala gabo Gang'uchayūlo nalīnadabatogagwa gete.

Bagakindwa Bagalū [emoji419][emoji419][emoji419]
 
Ni wa kike..
 
💃💃💃💃
Bora tu tukale zetu🍔🍟🍤😋😋😋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…