Sipendi maugomvi,napenda amani,ukweli na uwazi uwekwe,,,,sio habari ya vijineno visivyo na tija kama watoto wa shule ya msingi wakiwa wanashea Vivulana vipiga kengere,
Watu wenye mioyo mibovu mambo kama haya yanaishia kutuumiza tu wallah,
Leo kitu gani sijui kilinileta hapa,,,nilishaonaga haya mambo kitambo sana na nikayakwepa nikajua kupo safe kumbe badoo.